Palabek - Badilisha eneo
Hujambo! Kama mkaazi wa jamii yako, una haki kupata huduma za kimsingi ambazo hukuruhusu kuwa na uhakika wa maisha yako ya kila siku, kama vile afya, chakula, usafi, elimu na nafasi za ajira, miongoni mwa mengine. Sisi ni Kuja Kuja. Tunakusanya maoni ya mara kwa mara kutoka kwa jamii kama yako kusaidia mashirika kuboresha huduma wanazokupa. 1/2 Ukizingatia huduma zilizo hapo juu, na zinginezo, je, unatosheka na huduma ambazo unapata kila siku?
Tafadhali chagua moja ya chaguo hapo juu Ulichagua Hapana Ulichagua Ndio
2/2 Je! Una maoni yoyote kuhusu jinsi huduma hizo zinaweza kuboreshwa katika jamii yako?