KUJA KUJA ni jukwaa la maoni ya wakati halisi ambalo hukuruhusu kuweka viwango vya ubora wa huduma zinazopatikana kwenye jamii yako na kupeana maoni ya huduma mpya. Maoni haya yanashirikishwa na watoa huduma, ambao huyatumia ili kuimarisha huduma unazopokea.
Sauti yako ni ya maana. Fanya isikike.